Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Aliyehamisha mto apewa siku 7 kuurejesha

Aliyehamisha Mto Apewa Siku 7 Kuurejesha Aliyehamisha mto apewa siku 7 kuurejesha

Thu, 7 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mkuu wa Wilaya ya Mpanda Mkoa wa Katavi, Jamila Yusuf ametoa siku saba kwa mwekezaji wa machimbo ya madini aina ya dhahabu ,Anseimo Mjinga, aliyehamisha mto uliopo Kijiji cha Mtisi Kata ya Sitalike kusimamisha shughuli zake mara moja na kuurudisha mto huo. - Ametoa agizo hilo alipokuwa akisikiliza na kutatua kero za wananchi wa Kijiji cha Mtisi ambao wameulalamikia uongozi wa kijiji hicho kutoa eneo linalopakana na mto kumpa mwekezaji ambaye amehamisha mto kutoka eneo lake la asili na kuuchepusha.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live