Emmanuel Ndete (20), mkazi wa kata ya Kharumwa, wilaya ya Nyang’hwale mkoani Geita, ameshambuliwa mpaka kukatwa kiganja cha mkono na Fisi, usiku wa Oktoba 29 majira ya saa 2:00 usiku wakati anarudi nyumbani kwake.

GEITA: ALIWA KIGANJA NA FISI
— EastAfricaTV (@eastafricatv) November 2, 2021
Emmanuel Ndete (20), mkazi wa kata ya Kharumwa, wilaya ya Nyang’hwale mkoani Geita, ameshambuliwa mpaka kukatwa kiganja cha mkono na Fisi, usiku wa Oktoba 29 majira ya saa 2:00 usiku wakati anarudi nyumbani kwake. pic.twitter.com/FXPmqZOoJL