Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Aliechanganya Udongo wa Tanganyika na Zanzibar azikwa

Hasanieli Mrema Aliechanganya Udongo wa Tanganyika na Zanzibar azikwa

Thu, 9 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Serikali imesema itaendelea kuuthamini na kuuenzi mchango wa wazee walioshiriki katika tukio la kihistoria la kuchanganya udongo wa Tanganyika na Zanzibar.

Serikali imesema itaendelea kuuthamini na kuuenzi mchango wa wazee walioshiriki katika tukio la kihistoria la kuchanganya udongo wa Tanganyika na Zanzibar. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Khamis Hamza Khamis, wakati akitoa salamu za serikali katika mazishi ya Mzee Hasanieli Mrema aliyeshiriki katika tukio la kuchanganya udongo wa Tanganyika na Zanzibar, katika Kijiji cha Mdawi wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro Mei 08, 2024.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live