Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ajiua kwa kujinyonga kisa ugumu wa maisha

Efr Wed Ajiua kwa kujinyonga kisa ugumu wa maisha

Fri, 17 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mkazi wa Soweto, mjini Moshi ambaye anafahamika kwa jina Jeremia Aduram (44) amefariki dunia baada ya kujinyonga kwa kamba nyumbani kwake ambapo mashuhuda wamedai sababu kubwa ni msongo wa mawazo.

Tukio hilo la kusikitisha limetokea Novemba 15 mwaka huu katika mtaa wa Furahisha, eneo la Sabasaba mjini Moshi ambapo marehemu alikuwa mjasiriamali katika soko la Maimoria.

Mwenyekiti wa Mtaa Juma Mmanga amesema taarifa za kifo cha mkazi wake alipokea kutoka kwa wananchi ambao walimchunguza na kuona bado anapumua hivyo kuchukua jukumu la kumpeleka hospitali.

Marehemu amefariki akiwa na umri wa miaka 44 ameacha watoto wawili na mwili.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live