Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ajitolea kujenga Daraja la laki 6 Kijijini

DARAJA WEB Muonekano wa daraja lililojengwa na Kosmas Kungule

Mon, 21 Nov 2022 Chanzo: eatv.tv

Mwananchi wa Kijiji cha Itiso wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma, Kosmas Daudi Kungule, ametengeneza kivuko cha miguu kijijini hapo (Daraja) kuunganisha shule ya msingi Itiso ambayo mvua ikinyesha wanafunzi hushindwa kufika hapo shuleni kutokana na maji kujaa katika eneo hilo.

Mwananchi wa Kijiji cha Itiso wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma, Kosmas Daudi Kungule, ametengeneza kivuko cha miguu kijijini hapo (Daraja) kuunganisha shule ya msingi Itiso ambayo mvua ikinyesha wanafunzi hushindwa kufika hapo shuleni kutokana na maji kujaa katika eneo hilo. Kivuko hicho hadi sasa kimegharimu kiasi cha shilingi laki sita, na kusema kwamba hatua hiyo ameichukua ili kuwaondolea wanafunzi adha ya kushindwa kwenda shule wakati wa mvua  

Chanzo: eatv.tv