Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ajinyonga kisa mkewe kumtuhumu kutembea na mdogo wake

Kujinyonga Ajinyonga kisa mkewe kumtuhumu kutembea na mdogo wake

Sat, 19 Feb 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mustapha Abdul (32) Mkazi wa Mwambasabi Kata ya Nyankumbu Mkoani Geita amefariki baada ya kujinyonga kwa kutumia kamba kwenye kenchi ya ndani ya nyumba huku chanzo kikiwa ni baada ya Mkewe kumtuhumu kuwa anatembea na Mdogo wake.

Mustapha Abdul (32) Mkazi wa Mwambasabi Kata ya Nyankumbu Mkoani Geita amefariki baada ya kujinyonga kwa kutumia kamba kwenye kenchi ya ndani ya nyumba huku chanzo kikiwa ni baada ya Mkewe kumtuhumu kuwa anatembea na Mdogo wake. RPC wa Geita, Henry Mwaibambe amesema; "Marehemu ameacha ujumbe kwamba amemua kujinyonga baada ya Mkewe kumtuhumu kutembea na Mdogo wake..."

Chanzo: www.tanzaniaweb.live