Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ajali za Bodaboda: Asilimia 60 wanaumia sehemu za Ubongo

AJALI BODABODA Ajali za Bodaboda: Asilimia 60 wanaumia sehemu za Ubongo

Tue, 26 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Asilimia 60 ya majeruhi wa ajali hasa wa ajali zinazohusiana na Pikipiki maarufu kama Bodaboda wanaumia sehemu za ubongo.

Hayo yamebainishwa na Mkurugenzi wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI), Prof. Abel Makubi ambaye ameongeza kuwa kwa wastani kwenye idara ya magonjwa ya dharura, napokea wagonjwa 15 hadi 20.

Amesema, “Wagonjwa hao ni wale wanatokana na dharura mbalimbali na asilimia 60 zinatokana na ajali na wengi ni bodaboda. Tatizo ni kubwa wengi wanakuwa wameumia mifupa na ubongo.”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live