Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ajali ya ndege Bukoba; Waliokufa ni watatu

Ndege Bukoba Precision Ajali ya ndege Bukoba; Waliokufa ni watatu

Sun, 6 Nov 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

#BREAKING Mganga Mkuu Mkoa wa Kagera Dr. Isesanda Kaniki amesema hadi sasa ni Watu watatu wamefariki kutokana na ajali ya ndege ya Precision Air iliyotokea asubuhi leo Ziwa Victoria wakati ikitua;

#BREAKING Mganga Mkuu Mkoa wa Kagera Dr. Isesanda Kaniki amesema hadi sasa ni Watu watatu wamefariki kutokana na ajali ya ndege ya Precision Air iliyotokea asubuhi leo Ziwa Victoria wakati ikitua; “Tumewapokea ndugu zetu 26 wakiwa hai, Wanaume 17, Wanawake 9 lakini pia tumewapokea ndugu zetu watatu wakiwa wamefariki, Wanaume wawili Mwanamke mmoja na bado uokoaji unaendelea, kwa walio hai huduma zinaendelea kutolewa hali zao ziko vizuri," amesema Dr. Kaniki.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live