Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ajali ya Treni Dodoma "Mabasi yamechukua Watu wote"

Screenshot 2021 01 03 At 04.11.00 660x400.png Ajali ya Treni Dodoma "Mabasi yamechukua Watu wote"

Sat, 9 Jan 2021 Chanzo: millardayo.com

“Asubuhi tutakuwa na zoezi la kunyanyua mabehewa tutahakiki kuwa hatuna masalia asubuhi, tumepata vifo vitatu na Treni ilikuwa na abiria 720 kwa hiyo ni wengi sana, lile eneo ambalo treni imepinduka bila SGR ilikuwa si rahisi kufika tumeingia kirahisi mabasi yamefika yamechukua Watu wote kwa pamoja”

“Asubuhi tutakuwa na zoezi la kunyanyua mabehewa tutahakiki kuwa hatuna masalia asubuhi, tumepata vifo vitatu na Treni ilikuwa na abiria 720 kwa hiyo ni wengi sana, lile eneo ambalo treni imepinduka bila SGR ilikuwa si rahisi kufika tumeingia kirahisi mabasi yamefika yamechukua Watu wote kwa pamoja” “Kule mvua imenyesha sana inaonekana baada ya mvua kunyesha na lile eneo ni tambarare ile reli huwa inanyanyuliwa kwa hiyo inaonekana imeenda ikaosha ule msingi wote reli ikabaki pekee yake kwa hiyo tuna wasiwasi reli ilizidiwa ndio maana ikaanguka”-Dkt. Binilith Mahenge Mkuu wa Mkoa wa Dodoma.

Chanzo: millardayo.com