Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ajali Morogoro: Abiria wakandamizwa na trela, RPC asimulia "wengine wapo hoi"(+video)

WhatsApp Image 2020 08 17 At 05.20.12 660x400.jpeg Ajali Morogoro: Abiria wakandamizwa na trela, RPC asimulia "wengine wapo hoi"(+video)

Mon, 17 Aug 2020 Chanzo: millardayo.com

Leo August 17, 2020 Watu 10 wamejeruhiwa, wanne kati yao vibaya baada ya basi dogo aina ya Coaster likitokea Dar kwenda Morogoro kugonga tela la lori eneo la Seminary ya Nanenane mkoani Morogoro.

Leo August 17, 2020 Watu 10 wamejeruhiwa, wanne kati yao vibaya baada ya basi dogo aina ya Coaster likitokea Dar kwenda Morogoro kugonga tela la lori eneo la Seminary ya Nanenane mkoani Morogoro. RPC wa Morogoro Wilbroad Mutafungwa amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema wamefanikiwa kuwaokoa Watu wote.

Chanzo: millardayo.com