Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ajabu! Mzee abeba saruji kwa meno- VIDEO

Mzeee Saruji Ajabu (600 X 309) Ajabu! Mzee abeba saruji kwa meno- VIDEO

Mon, 19 Feb 2024 Chanzo: Wasafi tv

Rajabu Saidi Ighembe ni Mkazi wa Singida mwenye Umri wa Miaka 53, uwezo wake wa Kubeba Mfuko wa saruji wenye 50kg kwa Kutumia Meno yake Umeendelea Kuwashangaza wengi katika Maeneo mbalimbali.

Kabla ya Kufikia Umri alionao Sasa Alikuwa anauwezo wa Kubeba Mifuko Mitatu ya Cement na Anakiri kuwa Umri ndio Sababu ya nguvu zake Kupungua kwa Kasi.

Mwaka 1971 ndipo Alipozaliwa Anasema nguvu alizonazo Amerithi kutoka kwa Mama yake ambapo Historia yake inadai kwamba Babu mzaa Mama Alikutanishwa na Simba Akiwa Hana Silaha afanikiwa Kumuua Simba.

View this post on Instagram

A post shared by Wasafi FM (@wasafifm)

Chanzo: Wasafi tv