Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Agizo la RC Makalla kwa madereva wa daladala kuwafikia Machinga

IMG 20210525 WA0092 660x400.jpeg Agizo la RC Makalla kwa madereva wa daladala kuwafikia Machinga

Mon, 1 Nov 2021 Chanzo: millardayo.com

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla amesema zoezi la kuwapanga vizuri Machinga katika Jiji hilo limeenda salama pasipo usumbufu wowote.

Makalla amesema ameagiza maeneo walipoondoka Machinga yasafishwe na yafanyiwe ukarabati “tunashirikiana na LATRA kuhakikisha Daladala za Kariakoo zinashusha abiria Machinga Complex kuchochea Biashara”

“Nimewaelekeza Wakuu wa Wilaya kufikisha Route za Daladala kwenye maeneo yaliyotengwa kwaajili ya Machinga. Nimewaelekeza Wakuu wa Wilaya kufikisha Route za Daladala kwenye maeneo yaliyotengwa kwaajili ya Machinga” RC Makalla 

“Kikwazo cha Usafi katika Jiji hili ilikuwa biashara holela, nashukuru hili tumelikwamua, tujiandae kwa usafi endelevu” RC Makalla

Chanzo: millardayo.com