Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Aggrey Mwanri Alivyogeukia Uchungaji

Mwanri?fit=700%2C394&ssl=1 Aggrey Mwanri Alivyogeukia Uchungaji

Wed, 7 Apr 2021 Chanzo: globalpublishers.co.tz

Aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri kwa sasa amekuwa mwinjilisti katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), ambapo Jumapili ya Pasaka na juzi Jumatatu ya Pasaka Aprili 05, 2021, ameendesha ibada huko wilaya ya Siha na kusoma mistari ya Biblia na kuwapa neno waumini.

Chanzo: globalpublishers.co.tz