Thu, 24 Oct 2024
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Mahakama ya Wilaya ya Biharamulo mkoani Kagera imemhukumu miaka 30 jela, Yeremia Mayila mkazi wa Kijiji cha Nyarwambo Tarafa ya Lusahunga Wilaya ya Biharamulo kwa kosa la kupatikana na dawa za kulevya aina ya bangi.
Mahakama ya Wilaya ya Biharamulo mkoani Kagera imemhukumu miaka 30 jela, Yeremia Mayila mkazi wa Kijiji cha Nyarwambo Tarafa ya Lusahunga Wilaya ya Biharamulo kwa kosa la kupatikana na dawa za kulevya aina ya bangi. Mshitakiwa alipatikana na dawa hizo kilogramu 7.5 Septemba 07, 2023 akiwa ameficha chumbani kwake kwenye ndoo.
Chanzo: www.tanzaniaweb.live