Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

13 wajeruhiwa ajali ya basi Mtwara

Ajali Mtwara 13 13 wajeruhiwa ajali ya basi Mtwara

Sun, 5 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Watu 13 wamejeruhiwa baada ya basi la abiria kampuni ya Selous Express kupinduka katika eneo la Mlesi, Masasi mkoani Mtwara.

Ajali hiyo imetokea leo Mei 5, 2024, saa nne asubuhi wakati basi hilo likielekea Mbeya kutoka Mtwara.

Kwa mujibu wa mashuhuda watu 13 wamejeruhiwa na kupelekwa katika hospitali ya Mkomaindo iliyoko Masasi kwa matibabu

Chanzo: www.tanzaniaweb.live