Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Zungu Mgombea Pekee Unaibu Spika, Upinzani Wamegwaya

Zungu Naibu Zungu Mgombea Pekee Unaibu Spika, Upinzani Wamegwaya

Thu, 10 Feb 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mussa Zungu ndiye mgombea pekee wa nafasi ya Naibu Spika wa Bunge la Tanzania. Katibu wa Bunge, Nenelwa Mwihamba amesema zoezi la uteuzi limekamilika leo saa 10:00 jioni, na hadi muda huo, CCM pekee ndiyo iliyowasilisha jina la mgombea.

Mussa Zungu ndiye mgombea pekee wa nafasi ya Naibu Spika wa Bunge la Tanzania. Katibu wa Bunge, Nenelwa Mwihamba amesema zoezi la uteuzi limekamilika leo saa 10:00 jioni, na hadi muda huo, CCM pekee ndiyo iliyowasilisha jina la mgombea. Kwa Mujibu wa taarifa ya Katibu wa Bunge na Msimamizi wa Uchaguzi Nenelwa Mwihambi, kesho ujumaa 11, Februari baada ya kipindi cha maswali na majibu atawasilisha jina la mgombea mbele ya wapiga kura (Waheshimiwa Wabunge)kwa taratibu za uchaguzi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live