Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Zitto Kabwe "ACT tutashiriki uchaguzi Jimbo la Muhambwe"

Maxresdefault 4 660x400.jpeg Zitto Kabwe "ACT tutashiriki uchaguzi Jimbo la Muhambwe"

Fri, 2 Apr 2021 Chanzo: millardayo.com

Chama cha ACT-Wazalendo kimesema kitashiriki Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Muhambwe, ambalo liko wazi baada ya kifo cha Atashasta Nditiye ambaye alikuwa Mbunge wa jimbo hilo.

Chama hiko kimesema hauwezi kusimamisha shughuli zote kwasababu ya kusubiri jambo moja hivyo kitashiriki Uchaguzi huku wakiendelea kudai Tume Huru ya Uchaguzi.

Katika Ujumbe wake Kiongozi Mkuu wa ACT-Wazalendo amesema Uchaguzi huo utakuwa kipimo dhahiri kwa Rais Samia Suluhu kama ana nia ya dhati kwa Demokrasia ya Nchi

Chanzo: millardayo.com