Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

ZITTO KABWE: CHAMA CHA ACT WAZALENDO NI CHAMA KICHANGA KULIKO VYOTE TANZANIA

Image 201.png?fit=593%2C585 ZITTO KABWE: CHAMA CHA ACT WAZALENDO NI CHAMA KICHANGA KULIKO VYOTE TANZANIA

Wed, 5 Aug 2020 Chanzo: zanzibar24.co.tz

”Chama cha ACT Wazalendo ni chama kichanga kuliko vyote Tanzania kwa umri wake kikiwa na miaka 6 tangu kuanzishwa kwake lakini taswira ya Mkutano Mkuu huu ni tofauti kabisa na uhalisia,” Zitto Kabwe, Kiongozi Mkuu wa ACT Wazalendo.

‘Tunakwenda kuzunguka Tanzania nzima, bara na visiwani tutafika kila kijiji ili kuwaeleza watanzania juu ya sifa za kiongozi gani mkuu wa taifa tunayekwenda kumpitisha leo kwenye Mkutano Mkuu,” Zitto Kabwe, Kiongozi Mkuu wa ACT Wazalendo.

”Tunataka kuhakikisha kuwa huduma za jamii zinakuwa bora, zenye ufanisi, zinatolewa kwa wakati stahiki, hazitakuwa na upendeleo kwa viongozi au watu wachache, bali zitakuwa kwa kila mtuZitto Kabwe, Kiongozi Mkuu wa ACT Wazalendo.

Chanzo: zanzibar24.co.tz