Fri, 31 May 2024
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Waziri wa Maliasili na Utalii, Angellah Kairuki akiwasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi ya wizara yake kwa mwaka wa fedha 2024 / 2025, jijini Dodoma leo Mei 31, 2024.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Angellah Kairuki akiwasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi ya wizara yake kwa mwaka wa fedha 2024 / 2025, jijini Dodoma leo Mei 31, 2024. Kairuki ameliomba Bunge lipitishe bajeti ya wizara hiyo ya Sh348 bilioni ikiwa na vipaumbele vinane.
Chanzo: www.tanzaniaweb.live