Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Waziri apiga magoti kuomba kura (+picha)

1 B 660x400 Waziri apiga magoti kuomba kura (+picha)

Thu, 3 Sep 2020 Chanzo: millardayo.com

Waziri wa Viwanda na Biashara na mgombea Ubunge Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa amepiga magoti kumuombea kura za kishindo kwa asilimia 100 Mgombea wa Urais kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM, Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa uzinduzi wa Kampeni za CCM kwa upande wa Urais, Wabunge na Madiwani kwa mkoa Kagera katika uwanja Mayunga, Bukoba mjini, Septemba 02, 2020.

Waziri wa Viwanda na Biashara na mgombea Ubunge Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa amepiga magoti kumuombea kura za kishindo kwa asilimia 100 Mgombea wa Urais kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM, Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa uzinduzi wa Kampeni za CCM kwa upande wa Urais, Wabunge na Madiwani kwa mkoa Kagera katika uwanja Mayunga, Bukoba mjini, Septemba 02, 2020. WANANCHI WAJITOKEZA POLISI KUCHUKUA MALI ZAO ZILIZOIBIWA

Chanzo: millardayo.com