Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Waziri Mkuu afanya ukaguzi nyumba za jeshi la Zimamoto

WhatsApp Image 2022 06 09 At 6.jpeg Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipokagua ujenzi wa nyumba za Zimamoto

Thu, 9 Jun 2022 Chanzo: Tanzania

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Juni 9, 2022, amekagua ujenzi wa nyumba za makazi za jeshi la zimamamoto jijini Dodoma.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Juni 9, 2022, amekagua ujenzi wa nyumba za makazi za jeshi la zimamamoto jijini Dodoma. Kwenye hafla hiyo, alikuwepo pia Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini, Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Jabir Shekimweri na Kamishina Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, John William Masunga.

Chanzo: Tanzania