Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

"Wanaomtukana JPM wamekosa vyeo" - Deo Sanga (+video)

Video Archive
Thu, 15 Apr 2021 Chanzo: millardayo.com

“Mimi nasikitika sana kuna baadhi ya watu tangu tumemzika hayati Magufuli wameanza kuzungumza mambo ya ajabu, nashangaa, Mama Samia, Waziri Mkuu wamezunguka nchi hii kututafutia kura na Hayati Magufuli ndio tumerudi hapa, leo mtu anasimama kwenye mitandao ya kijamii kumtukana na wengine kwa sababu wamekosa vyeo, vyeo utatoa kwa watu wangapi”-Mbunge wa Jimbo la Makambako, Deo Sanga

Chanzo: millardayo.com