Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wanaogombea uenyeviti CCM wilaya hadharani

Wago Pic Wanaogombea uenyeviti CCM wilaya hadharani

Wed, 28 Sep 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeweka hadharani majina ya wanachama wake wanaogombea nafasi za Mwenyekiti wa Wilaya huku majina mengi yakionekana mapya.

Taarifa iliyotolewa jana usiku Septemba 27, 2022 na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Shaka Hamdu Shaka, inaonyesha sura nyingi zitakuwa ngeni kwenye uchaguzi huo licha ya maeneo mengi wenyeviti wamerudishwa kutetea nafasi zao.

Yafuatayo ni baadhi ya majina yawaliyochaguliwa kuwanania nafasi hizo;



Chanzo: www.tanzaniaweb.live