Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Waitara: Rais Samia anatosha na chenji inabaki

Images (1) Waitara.jpeg Waitara: Rais Samia anatosha na chenji inabaki

Thu, 18 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mbunge wa Jimbo la Tarime Vijijini, Mwita Waitara amesema Rais Samia Suluhu Hassan ataendelea kusemewa mazuri kwa sababu ni mama mwenye nyumba aliyefanya maendeleo makubwa katika kila sekta, jambo ambalo ni kazi kubwa.

Waitara amesema hayo Bungeni jijini Dodoma wakati akichangia Bajeti ya Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kwa mwaka wa Fedha 2024/2025 Bungeni jijini Dodoma.

“Tusipomsema mama Samia unataka tumseme nani? Yaani tuache kumsemea Mwenyekiti wetu tukuseme wewe kwa lipi?... Unataka tuseme nini? Mama Samia anatosha na chenji inabaki,” amesema Waitara.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live