Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wagombea Ubunge wa CHADEMA Kigamboni, Kinondoni, Arumeru wawekwa wazi

CHADEMA 660x400 Wagombea Ubunge wa CHADEMA Kigamboni, Kinondoni, Arumeru wawekwa wazi

Thu, 13 Aug 2020 Chanzo: millardayo.com

CHADEMA kimemteua Lazaro Nyalandu kugombea Ubunge wa Jimbo la Singida Kaskazini, Suzan Lyimo kugombea Jimbo la Kinondoni, Lucy Magereli Kigamboni, Salome Makamba Jimbo la Shinyanga Mjini, Gibson Ole Meiseyeki kugombea Jimbo la Arumeru Magharibi, na Aboubakar Mashambo Jimbo la Bumbuli.

Chanzo: millardayo.com