Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wabunge waliosafiri 'VIP' badala ya Business kurudisha fedha-Spika

Spika Tulia Katulia Wabunge waliosafiri 'VIP' badala ya Business kurudisha fedha-Spika

Wed, 5 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson amesema ofisi yake imepokea majina ya Wabunge waliofanya safari za nje ya Nchi na kutumia huduma za 'VIP Class' badala ya 'Business' wanayostahili. Ofisi ya Katibu wa Bunge itawaandikia barua ili walipe gharama hizo

Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson amesema ofisi yake imepokea majina ya Wabunge waliofanya safari za nje ya Nchi na kutumia huduma za 'VIP Class' badala ya 'Business' wanayostahili. Ofisi ya Katibu wa Bunge itawaandikia barua ili walipe gharama hizo Kwa mujibu wa Spika, Wabunge wanastahili kupewa tiketi za 'Business Class' na huduma zilizopo chumba cha daraja hilo hilo na sio 'VIP' ambayo ina gharama za ziada

Chanzo: www.tanzaniaweb.live