Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Vurugu zaibuka uteuzi wagombea Udiwani CCM Dodoma (+video)

Video Archive
Wed, 19 Aug 2020 Chanzo: millardayo.com

Vurugu zimeibuka katika ofisi za Chama cha Mapinduzi ( CCM) Wilaya ya Dodoma baada ya baadhi ya wanachama wa chama hicho kudai kuwa majina ya Wagombea Udiwani yaliyopitishwa yamebadilishwa bila sababu za msingi katika baadhi ya kata za Wilaya ya hiyo.

Vurugu zimeibuka katika ofisi za Chama cha Mapinduzi ( CCM) Wilaya ya Dodoma baada ya baadhi ya wanachama wa chama hicho kudai kuwa majina ya Wagombea Udiwani yaliyopitishwa yamebadilishwa bila sababu za msingi katika baadhi ya kata za Wilaya ya hiyo. Katibu wa CCM kata ya Ipagala, Minudi Daniel akajikuta katika wakati mgumu baada ya kutoka nje ya ofisi hizo kwa lengo la kuwafafanulia wanachama wake kinachoendelea, baadaye Polisi walikuja na kutuliza ghasia hizo.

Chanzo: millardayo.com