Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Vurugu za Kisiasa Zanzibar, Masauni atembelea wagonjwa (+picha)

ELpecDAWoAAuoOu Vurugu za Kisiasa Zanzibar, Masauni atembelea wagonjwa (+picha)

Sat, 17 Oct 2020 Chanzo: millardayo.com

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amewatembelea majeruhi wa vurugu za kisiasa zilizotokea Visiwani Pemba, ambapo walijeruhiwa maeneo ya tumboni na mgongoni kwa kuchomwa kisu na wanaodaiwa wafuasi wa Chama cha ACT Wazalendo, ambapo jumla ya majeruhi saba wanapatiwa huduma katika Hospitali ya Micheweni iliyopo Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba.

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amewatembelea majeruhi wa vurugu za kisiasa zilizotokea Visiwani Pemba, ambapo walijeruhiwa maeneo ya tumboni na mgongoni kwa kuchomwa kisu na wanaodaiwa wafuasi wa Chama cha ACT Wazalendo, ambapo jumla ya majeruhi saba wanapatiwa huduma katika Hospitali ya Micheweni iliyopo Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba. INASHANGAZA MAFUVU ZAIDI YA 20 YALIYOKUTWA NYUMBANI KWA NYERERE “YAMEZIKWA KABURI MOJA”

Chanzo: millardayo.com