Leo tarehe 18 Januari 2023 viongozi wa vyama vilivyokuwa mstari wa mbele kupigania uhuru wa kusini mwa Afrika vikiongozwa na CCM wawasili zanzibar na kupokelewa na Viongozi wa CCM wakiongozwa na Ndg. Mohammed Said Mohammed (Dimwa) Naibu Katibu Mkuu Zanzibar, kwa ajili ya ziara ya siku moja ya kutembelea sehemu za kihistoria ambazo zina mahusiano makubwa na harakati za ukombozi wa ukanda wa kusini mwa Afrika.
Leo tarehe 18 Januari 2023 viongozi wa vyama vilivyokuwa mstari wa mbele kupigania uhuru wa kusini mwa Afrika vikiongozwa na CCM wawasili zanzibar na kupokelewa na Viongozi wa CCM wakiongozwa na Ndg. Mohammed Said Mohammed (Dimwa) Naibu Katibu Mkuu Zanzibar, kwa ajili ya ziara ya siku moja ya kutembelea sehemu za kihistoria ambazo zina mahusiano makubwa na harakati za ukombozi wa ukanda wa kusini mwa Afrika. Ugeni huu umehusisha Viongozi wa Vyama vya Zanu PF (Zimbambwe), SWAPO (Nambia) MPLA ( Angola), na FRELIMO (Mozambique/ Msumbiji) ukiongozwa na Ndg. Anamlingi Macha Naibu Katibu Mkuu wa CCM Tanzania Bara. v