Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Video: Viongozi wa CCM hawapaswi kuwaogopa watendaji wa serikali – Rais Magufuli

Mon, 18 Dec 2017 Chanzo: bongo5.com

AliyekuwaxMwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amesema kuwa viongozi wa Chama hicho hawapaswi kuwaongopa watendaji wa serikali hususani katika maslahi ya wananchi wanyonge. Rais Magufuli ameyasema hayo leo katika mkutano wa 9 wa chama hicho unaoendelea mjini Dodoma: Tazama video hii akieleza.

Chanzo: bongo5.com