Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Video: Nilinuniwa nilivyomtaja Rais Magufuli – Diwani aliyehamia CCM

Mon, 29 Jan 2018 Chanzo: bongo5.com

Aliyekuwa Diwani wa Kimara (Chadema), Paschal Manota baada ya kuhamia CCM amesema kuwa viongozi wa Chadema walimnunia kwasababu kuna siku alifanyiwa mahojiano na TBC alimtaja Rais Magufuli; Tazama video hii Manota akieleza kisa cha kununiwa.

Chanzo: bongo5.com