Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Video: Kazi ya Mbunge si kwenda kumtetea Rais – Sumaye

Mon, 29 Jan 2018 Chanzo: bongo5.com

Waziri Mkuu mstaafu na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ukanda wa Pwani, Fredrick Sumaye amesema kazi ya Mbunge si kwenda kumtetea Rais bungeni bali wananchi waliomchagua. Sumaye amesema hayo wakati wakati akimnadi mgombea wa wao Salum Mwalimu anayegombe jimbo la Kinondoni.

Chanzo: bongo5.com