Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

VIKAO VYA MKUTANO WA TATU WA BUNGE LA KUMI NA MBILI VYAANZA LEO

BU.png?fit=746%2C479 VIKAO VYA MKUTANO WA TATU WA BUNGE LA KUMI NA MBILI VYAANZA LEO

Tue, 30 Mar 2021 Chanzo: zanzibar24.co.tz

Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, limeanza kufanya Mkutano wa Bajeti kuanzia Machi 30, 2021 hadi Juni 30, 2021.

Katika Siku ya Kwanza ya Mkutano, Bunge litatambua Mchango wa aliyekuwa Rais wa Awamu ya 5, Hayati Rais John Magufuli na kuenzi maisha yake.

Pia, Wabunge wameazimia kumpongeza Rais wa Sita wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan

Chanzo: zanzibar24.co.tz