Fri, 4 Mar 2022
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi imemwachia huru Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka nchini Tanzania (DPP) kuwafutia mashtaka
Video kwa hisani ya Mwananchi Digital
Chanzo: www.tanzaniaweb.live