Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#VIDEO: Rais Samia awataka askari kupunguza vitambi

Askari Kitambi #VIDEO: Rais Samia awataka askari kupunguza vitambi

Mon, 4 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais Samia Suluhu Hassan amemuagiza Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), Camillius Wambura kuhakikisha askari polisi wanakuwa na utimamu wa mwili ili kuweza kufanya kazi zao kwa ufanisi.

Rais Samia Suluhu Hassan amemuagiza Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), Camillius Wambura kuhakikisha askari polisi wanakuwa na utimamu wa mwili ili kuweza kufanya kazi zao kwa ufanisi. Rais Samia ameyasema hayo leo Jumatatu Septemba 4, 2023katika hafla ya ufunguzi wa kikao kazi cha maafisa waandamizi wa Jeshi la Polisi unaofanyika Oysterbay jijini Dar es Salaam.

View this post on Instagram

A post shared by Mwananchi (@mwananchi_official)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live