Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

VIDEO: Polepole apeleka mahakamani faini ya Sh30 milioni ya Dk Mashinji

Video Archive
Wed, 11 Mar 2020 Chanzo: mwananchi.co.tz

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole leo Jumatano Machi 11, 2020 amefika katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam kulipa faini ya mwanachama wa chama hicho, Dk Vicent Mashinji.

Dk Mashinji na wanachama wanane wa Chadema jana Jumanne Machi 10, 2020 Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu iliwatia hatiani katika mashtaka 12 kati ya 13 yaliyokuwa yakiwakabili na kutakiwa kulipa faini ya jumla ya Sh350 milioni au kwenda jela miezi mitano

Katika faini hizo, Dk Mashinji anatakiwa kulipa Sh30 milioni.

 

Habari zinazohusiana na hii

Advertisement

Chanzo: mwananchi.co.tz