Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

VIDEO: Makonda atinga kijiwe cha kahawa Dodoma

Paul Makonda Region Week Makonda atinga kijiwe cha kahawa Dodoma

Wed, 1 Nov 2023 Chanzo: Millard Ayo

Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi na Uenezi CCM, Paul Makonda tayari ameingia Jijini Dodoma kwa ajili ya mapokezi rasmi baada ya kuteuliwa kushika nafasi hiyo na hii ni baada ya mapokezi yaliyofanyika Dar es salaam.

Akiwa Dodoma amepokelewa na Viongozi wa Serikali na CCM na Wanachama wengine wa CCM katika eneo la Veyula na hapa ni kijiwe cha Kahawa ambapo amepita kusalimiana na Wananchi wa eneo hilo.

View this post on Instagram

A post shared by millardayo (@millardayo)

Chanzo: Millard Ayo