Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

VIDEO: Kazi ya Bunge sio kukosoa serikali pekee - Naibu Spika Tulia

Video Archive
Mon, 10 Jan 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Leo January 10, 2021, Ikulu ya Chamwino Dodoma baada ya kuwaapisha Mawaziri, Manaibu Waziri na Makatibu wa Wizara mbalimbali, Naibu Spika Tulia Ackson amezungumza kuhusu mgawanyo wa majukumu ya mihimili ya serikali pamoja na kazi zake huku akitaja aliye juu ya mihimili mingine.

Naibu Spika Tulia Ackson ametamka kuwa pamoja na kwamba Bunge lina wajibu wa kutunga sheria, kuishauri na kuisimamia serikali kama sehemu ya mfumo wa mgawanyo wa madaraka, Rais bado yuko juu ya wakuu wengine wote wa nchi.

Dkt. Tulia Ackson amesema itakapohitajika watakosoa Serikali kwa heshima na kuzingatia muktadha

Chanzo: www.tanzaniaweb.live