Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Utani wa Wabunge baada ya Simba kufungwa 4 (+picha)

WhatsApp Image 2021 05 17 At 11.17.47 660x400.jpeg Utani wa Wabunge baada ya Simba kufungwa 4 (+picha)

Mon, 17 May 2021 Chanzo: millardayo.com

Wabunge ambao ni wapenzi wa timu ya Yanga wakioonyesha vidole vinne wakati timu ya Simba Queens ilipokuwa ikitambulishwa bungeni leo, ikiwa ni ishara ya kuwakumbusha kipigo cha mabao 4 waliyofungwa Simba ilipokuwa ikipambana na Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini.











EXCLUSIVE: ALIEGOMBEA URAIS NA MAGUFULI ATEULIWA U-RC, “NILIFANYIWA FUJO IRINGA, UPINZANI UPO”
Chanzo: millardayo.com