Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ummy Mwalimu awapa pole waathirika wa mafuriko Tanga

Ummy Mwalimu Awapa Pole Waathirika Wa Mafuriko Tanga Ummy Mwalimu awapa pole waathirika wa mafuriko Tanga

Mon, 24 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mhe Ummy ambaye pia ni Waziri wa Afya amelitaka Jiji na Tarura Wilaya ya Tanga kuangalia namna ya kuzibua mirefeji iliyoziba haraka ili kuondoa kero ya mafuriko eneo hilo na maeneo mengine ya Jiji.

Mhe Ummy ambaye pia ni Waziri wa Afya amelitaka Jiji na Tarura Wilaya ya Tanga kuangalia namna ya kuzibua mirefeji iliyoziba haraka ili kuondoa kero ya mafuriko eneo hilo na maeneo mengine ya Jiji. Aidha, Mhe Ummy ameeleza kuwa Suluhisho la kudumu la kuondoa kero sugu ya mafuriko eneo la Ziwani ni kutafuta fedha ili kuchimba mfereji wa kupitisha maji yanayotuama katika eneo hilo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live