Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ukiona umeteleza jiuzulu, wapishe wengine

6666666666666 Ukiona umeteleza jiuzulu

Sat, 8 Jan 2022 Chanzo: eatv.tv

Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Ruvuma Odo Mwisho, amempongeza aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai, kwa kitendo chake cha kiungwana cha kujiuzulu na kusema ndani ya uongozi ukiona umeteleza jiuzulu, kaa pembeni, jitafakari na urejee upya.

Amesema kuwa kujiuzulu kwa Job Ndugai haimaanishi kwamba yeye sio kiongozi mzuri lakini hakuchagua maneno ya kusema na kwa wakati gani na akiwa nje atajitafakari na kujifunza.

Aidha, Mwisho amesema kuwa CCM haiwezi kugawanyika kwa sababu hakuna aliye mkubwa kuliko chama hicho, na kwamba bado kipo imara.

Chanzo: eatv.tv