Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

"Tusikae kwa kusubiria matamko, ripoti ya CAG imeonesha";- Mbunge Matiko

Jjjjjj 660x400 "Tusikae kwa kusubiria matamko, ripoti ya CAG imeonesha";- Mbunge Matiko

Tue, 20 Apr 2021 Chanzo: millardayo.com

Mbunge wa viti maalum Esther Matiko akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya ofisi ya Rais (TAMISEMI) kwa mwaka wa fedha 2021/2022.

Mbunge wa viti maalum Esther Matiko akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya ofisi ya Rais (TAMISEMI) kwa mwaka wa fedha 2021/2022. ‘Mheshimiwa Spika nitajielekeza sana kwenye Elimu ni dhahiri kwamba kupitia Elimu bila ada udaili wa Wanafunzi kwa shule za msingi na Sekondari umeongezeka, lakini kunakosekana mpango mikakati wa kuhakikisha kwamba  kunatolewa kwa Elimu bora’– Mbunge Matiko

Chanzo: millardayo.com