Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tazama wafuasi wa CHADEMA walivyojitokeza Airport kumpokea Tundu Lissu

Screen Shot 2020 07 27 At 6.51.24 AM 660x400.png Tazama wafuasi wa CHADEMA walivyojitokeza Airport kumpokea Tundu Lissu

Mon, 27 Jul 2020 Chanzo: millardayo.com

Tazama Viongozi na wafuasi wa CHADEMA wakiwa uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini DSM wakimsubiri Makamu Mwenyekiti wa chama Taifa (Bara) Tundu Lissu ambaye anatokea nchini Ubelgiji alipokuwa akipatiwa matibabu kwa miaka mitatu sasa.

Tazama Viongozi na wafuasi wa CHADEMA wakiwa uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini DSM wakimsubiri Makamu Mwenyekiti wa chama Taifa (Bara) Tundu Lissu ambaye anatokea nchini Ubelgiji alipokuwa akipatiwa matibabu kwa miaka mitatu sasa. Lissu anarejea nchini kutokea Ubelgiji alipokwenda kwa ajili ya matibabu baada ya kushambuliwa kwa risasi na watu wasiojulikana Septemba 2017

Chanzo: millardayo.com