Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Taharuki Bungeni! Bunge lasimama ghafla, wabunge waamriwa kutoka nje

Taharuki Bungeni Taharuki Bungeni! Bunge lasimama ghafla, wabunge waamriwa kutoka nje

Tue, 27 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, limelazimika kusimama ghafla baada ya Spika Tulia Ackson kuamuru wabunge watoke nje haraka.

Tukio hilo limetokea mapema leo Juni 27, 2023 wakati wa kipindi cha maswali na majibu ambapo ghafla zilisikika alam na ndipo Spika alipoamuru wabunge wote kutoka nje.

"Wabunge hali hiyo inaashiria tutoke bungeni haraka, hivyo nawaambia mtoke nje haraka na ninaahirisha shughuli za Bunge mpaka hali itakapokuwa sawa," alisema Spika Tulia.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live