Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Sumaye amemuongelea Mtulia, Vipi kuhusu kutumia Salam za CUF na CHADEMA?

2740 SUMAYE 660x400

Wed, 7 Feb 2018 Chanzo: millardayo.com

Waziri Mkuu mstaafu Fredrick Sumaye ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati kuu ya CHADEMA leo February 6, 2018 amemuongelea Mgombea wa CCM jimbo la Kinondoni Maulid Mtulia lakini pia amegusia uwepo wa bendera za CUF na CHADEMA katika mikutano yao.

“Sisi kila siku nikupelekwa kwenye maadili kwa sababu ambazo hazina maana yoyote, Mkurugenzi wa Uchaguzi anajua shida zilizopo CUF, sis hatujawahi kuweka bendera ya CUF kwenye kampeni zetu, tunawaomba tume watende haki,”– Sumaye

‘Wamechukuliwa watu kutoka Zanzibar wameletwa Kinondoni’ CHADEMA

Chanzo: millardayo.com