Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Spika aitaka bodi ya Mikopo ihojiwe Bungeni kugomea kamati ya Waziri

Spikaaa Spika aitaka bodi ya Mikopo ihojiwe Bungeni kugomea kamati ya Waziri

Tue, 1 Nov 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Spika Dkt. Tulia Ackson ameitaka Bodi ya Mikopo ya Elimu ya juu (HESLB) kufika Bungeni kujibu tuhuma za kugomea Uchunguzi wa Kamati iliyoundwa na Waziri wa Elimu, Prof. Profesa Adolf Mkenda

Prof. Mkenda ameituhumu HESLB kukataa kutoa ushirikiano na taarifa kwa Kamati yake kuhusu uwepo wa upendeleo wa utoaji Mikopo kwa Wanafunzi wa Elimu ya Juu

Kamati ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii itaihoji Bodi ya Mikopo Ijumaa ya Novemba 4, 2022 Jijini Dodoma.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live