Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

“Sizitafuti kura za watu wa CHADEMA peke yao”- Salum Mwalim

2098 Mwalimu 1 660x400

Mon, 29 Jan 2018 Chanzo: millardayo.com

Leo January 27, 2018 Mgombea Ubunge kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo katika Jimbo la Kinondoni Salum Mwalim amefanya uzinduzi wa kampeni zake ambapo ameahidi mambo mbalimbali wananchi wa Kinondoni ikiwemo kwenda kuwasemea Bungeni.



“Sitafuti kura za CHADEMA, natafuta kura za watu wa Kinondoni kwa sababu nasimama mbele yenu kuomba utumishi wa Kinondoni, naomba utumishi wa miaka mitatu, mtu wa CCM naomba kwa unyenyekevu kura yako,”-Salum Mwalim



Dakika 8 za Lowassa akimnadi mgombea Kinondoni “Huyu Bwana achana naye”

Chanzo: millardayo.com