Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Shilole apitishwa kugombea CCM

Screenshot 20221207 122246 Instagram Shilile Shilole apitishwa kugombea CCM

Wed, 7 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii wa Bongo Fleva na Bongo Movie ambaye pia Mjasiriamali Zuwena Mohamedi maarufu kama (Shilole) @officialshilole, amepitishwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kugombea nafasi ya Ujumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) kwenye viti 15 Bara, uchaguzi unatarajiwa kufanyika siku ya kesho Dodoma.

Msanii wa Bongo Fleva na Bongo Movie ambaye pia Mjasiriamali Zuwena Mohamedi maarufu kama (Shilole) @officialshilole, amepitishwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kugombea nafasi ya Ujumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) kwenye viti 15 Bara, uchaguzi unatarajiwa kufanyika siku ya kesho Dodoma. Kwa habari kemkem za kuhabarisha kuelimisha na kuburudisha tembelea Msasa Online kila wakati hakika hutopitwa na chochote saa 24.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live