Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Shigongo Kukamilisha Zahanati Iliyomaliza Miaka 12 Bila Kukamilika

SHIGONGO 6?fit=700%2C467&ssl=1 Shigongo Kukamilisha Zahanati Iliyomaliza Miaka 12 Bila Kukamilika

Mon, 26 Jul 2021 Chanzo: globalpublishers.co.tz

Shigongo Kukamilisha Zahanati Iliyomaliza Miaka 12 Bila Kukamilika July 26, 2021 by Global Publishers



SHIGONGO KUKAMILISHA UJENZI WA ZAHANATI ILIYODUMU KWA MIAKA 12 BILA KUKAMILIKA.

Mbunge wa jimbo la Buchosa Eric Shigongo amepokelewa kwa shangwa katika Kijiji cha Kasheka alipofika kwa ajili ya kutembelea na kuona ujenzi wa Zahanati ya Kasheka uliodumu kwa miaka 12 bila kukamilika.



Ujenzi wa Zahanati hiyo ulianza mwaka 2009 mpaka Sasa bado haijakamilika kutokana na sababu mbalimbali kitu ambacho kimemsononesha na kumuuliza moyo kutokana na wananchi wa Kijiji hicho kuteseka kwa kukosa huduma ya afya.



Shigongo amesema haiwezekan Zahanati ijengwe kwa miaka 12 bila kukamilika na hatokubali amalize miaka mitano ya utawala wake bila Zahanati hiyo kukamilika.



Shigongo amewaomba wananchi wa Kijiji hicho kuendelea kujitoa na kuchangia miradi ya maendeleo ili kuleta maenelezo ya kijiji,kata na Jimbo kwa haraka.

Shigongo amesema atatoa mifuko 30 ya saruji kwa ajili ya rip pamoja na kuenzeka majengo yote ya zahanati hiyo ili iweze kukamilika kwa haraka na kuanza kutumika.



 

View this post on Instagram

 

A post shared by Eric Shigongo (@ericshigongo)



Share this:TweetWhatsApp Related
Chanzo: globalpublishers.co.tz