Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Selasini: Lugha chafu sio demokrasia- VIDEO

Selasini Kubaliano.png Selasini: Lugha chafu sio demokrasia- VIDEO

Tue, 22 Aug 2023 Chanzo: mwanachidigital

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi (Bara), Joseph Selasini amesema sasa hivi lugha za hovyo zimekuwa nyingi na siyo demokrasia hivyo ameshauri kuwepo kwa tunu za Taifa za zitungiwe sheria.

Selasini ameyasema hayo leo Jumanne Agosti 22, 2023 katika mkutano wa kitaifa wa wadau kujadili hali ya demokrasia nchini kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwakani na Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025. ulioandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD).

View this post on Instagram

A post shared by Mwananchi (@mwananchi_official)

Chanzo: mwanachidigital